Wakati ambao moyo wako unakosa hamu ya kuendelea kufanya mambo uliyopanga kufanya, wakati ambao unahisi hauna nguvu ya kuendelea mbele kuele...
UMBA DUNIA YAKO, ISHI DUNIA YAKO NA SHINDANA NA WEWE.
" Maisha ni safari, uwe na mwelekeo wako binafsi ." Nyumbani ni mahala ambapo moyo wako upo. Mahala ambapo moyo wako upo ni se...
URAIS WA TRUMP NA MAFUNZO MUHIMU KATIKA MAISHA YAKO
Unampenda au haumpendi, Dolnad Trump tayari ni Rais wa arobaini na tano wa Taifa kubwa la Marekani. Watu wengi hawaamini na bado hawakubali...
KWAKO MAFANIKIO NI NINI?
" Mafanikio hayapimwi kwa kiasi cha fedha unachomiliki pekee bali watu uliobadilisha maisha yao" Michelle Obama. M...
Tahadhari ya matumizi ya mitandao ya kijamii
Unatumia mitandao ya kijamii au unatumiwa na mitandao ya kijamii? Kila kitu kikitumiwa kwa kuzidi kina madhara, kikitumiwa kwa kiasi chaw...
Upo kama unavyojiumba
"Unaongozwa na fikra zako. Upo kadiri ya unavyojiumba mawazoni mwako" Mawazo yako ni mbegu ya kila mambo mazuri ...
Huu ndiyo wakati wa ndoto zako
“ Kila dakika ina thamani sababu ikitumika hauwezi kuirudisha” Willie Jolley Upo hivyo ulivyo na hapo ulipo kadiri...
Sonona chanzo cha watu kujiua na uwendawazimu
Matukio ya watu kujiua kwa kujinyonga, kunywa sumu, kunywa madawa zaidi ya kipimo, kujichoma kisu n.k si mageni katika jamii yetu. Watu wan...
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO
" Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa anatakiwa kuwa wewe mwenyewe. Jione na jiamini kuwa u mtu wa tha...
USIABUDU 2017. NI NYENZO YA KUFANIKIWA SI MAFANIKIO YENYEWE.
"Namna nzuri ya kutabiri yajayo ni kuyatayarisha" Peter Drucker, mfanyabiashara wa kimarekani.Ukweli mgumu kuhusu mafanikio ni k...
Wanawake huathiriwa zaidi na magonjwa ya akili
Profesa wa Chuo Kikuu cha Oxford, Daniel Freeman anasema wanaume wanaopata ugonjwa huo ni wale wanaoendekeza unywaji wa pombe na utumiaji ...
FURAHA YAKO. TIBA YAKO
"Kuwa na furaha ni uamuzi wako" Furaha ya kweli na ya ndani ni kitu muhimu kushinda yote. Binadamu aliye hai na mwenye...
Magonjwa ya akili ya ngono
“Kwa kitaalamu, ugonjwa wa akili ya ngono wa kupenda kuacha mwili wazi unaitwa ‘exhibitionism’ ambapo mtu huweza kuamua kuacha m...












