Unampenda au haumpendi, Dolnad Trump tayari ni Rais wa arobaini na tano wa Taifa kubwa la Marekani. Watu wengi hawaamini na bado hawakubali...
KWAKO MAFANIKIO NI NINI?
" Mafanikio hayapimwi kwa kiasi cha fedha unachomiliki pekee bali watu uliobadilisha maisha yao" Michelle Obama. M...
Tahadhari ya matumizi ya mitandao ya kijamii
Unatumia mitandao ya kijamii au unatumiwa na mitandao ya kijamii? Kila kitu kikitumiwa kwa kuzidi kina madhara, kikitumiwa kwa kiasi chaw...
Upo kama unavyojiumba
"Unaongozwa na fikra zako. Upo kadiri ya unavyojiumba mawazoni mwako" Mawazo yako ni mbegu ya kila mambo mazuri ...
Huu ndiyo wakati wa ndoto zako
“ Kila dakika ina thamani sababu ikitumika hauwezi kuirudisha” Willie Jolley Upo hivyo ulivyo na hapo ulipo kadiri...
Salamu za mwaka mpya; Kwenu wafia nchi
Bila usalama utafanya kazi gani, utalima vipi, utafanya biashara wapi na utamuuzia nani, bila usalama utasoma wapi na utaajiriwa wapi! Bila ...
Sonona chanzo cha watu kujiua na uwendawazimu
Matukio ya watu kujiua kwa kujinyonga, kunywa sumu, kunywa madawa zaidi ya kipimo, kujichoma kisu n.k si mageni katika jamii yetu. Watu wan...
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO
" Mtu wa kwanza kutambua na kuamini kuwa wewe ni wa thamani kubwa anatakiwa kuwa wewe mwenyewe. Jione na jiamini kuwa u mtu wa tha...